James Mbatia ni mmoja wa Viongozi wa Umoja wa UKAWA, ambaye
jana alikutana na Waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya NCCR-
Mageuzi, Ilala Dar
Miongoni mwa mambo aliyoyazungumzia ni UKAWA kuzuiwa kutumia
Uwanja wa Taifa kwenye uzinduzi wa Kampeni zao, na kutoonekana kwa Dk. Slaa .
“Kampeni zinaanza nawasihi Wanasiasa wote wachunge ndimi zao
sana , tujadili
hoja kwa hoja kwenye majukwaa ya kisiasa sio kujadili watu, matusi, wala
kupigana ngumi au kumwaga damu