Habari nilizopta muda huu na zimethibitishwa. nikwamba
mwenyekiti wa ccm mkoa wa arusha Mh Onesmo Nangole na katibu mwenezi wa CCM
mkoa wa arusha wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia
na maendeleo CHADEMA.
Katibu mwenezi amemtahadharisha katibu mkuu wa CCM, ache
kuwaita Watanzania makapi.