F STAA DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA MENGI KIHUSU COLLABO NA MASTAA HAWA | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

STAA DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA MENGI KIHUSU COLLABO NA MASTAA HAWA

Mwaka jana (2015) tulishuhudia producer na rapper Swizz Beatz wa Marekani ambaye ni mume wa muimbaji wa RnB, Alicia Keyz walidhihirisha hadharani kuwa wao ni mashabiki wa kazi za Diamond Platnumz kwa kupost video wakiwa wanasikiliza nyimbo zake .