Fungus ya kuwasha sehemu za siri ndio inayojulikana sana hasa kwa vijana wa kati ya miaka 15 hadi 35.
TIBA NA USHAURI:
1. Hakikisha sehemu husika inakuwa kavu masaa 24.
2. pakaa poda yoyote ya kutibu fangasi asubuhi na usiku kwa wiki 4 mfululizo.
3. tafuta na meza antibiotic eg cloxacillin 250mg(2 x 3 siku 5) kama sehemu yenyewe imekwa kama kidonda ili uweze kukausha haraka.
4. usivae boxer/chupi bali vaa bukta yenye kuruhusu hewa kupita na jikaushe vizuri baada ya kuoga(ni vizuri kusubiri ukauke kabla ya kuvaa nguo).
Usitumie sabuni zenye dawa kwani zitakusaidia kwa muda lakini zitafanya ngozi kupoteza uwezo wake wa asili wa kujilinda dhidi ya vijidudu(ngozi ina uwezo wa kujilinda kiasili,haiitaji msaada, na uwezo wake unaongezeka kadiri inavyoshambuliwa na vijidudu-)
5. hakikisha unabadili nguo ya ndani kila siku na unavaa nguo safi na ikibidi uipige pasi kila siku.
Sita,tumia cream inayoitwa QUADRIDERM X 2 KWA SIKU 14 lakini ipake sehemu ikiwa kavu na kaa dk 15-30 kabla ya kuvaa nguo
Mwisho,Muone daktari kwa ushauri na tiba zaidi.