Biriani Kuku.
Wadau wa kigamboni na Mitaa ya karibu kama Posta kwa sasa Misosi Kigamboni tunachukua Order ya vyakula mbali mbali ,kama Biriani ,Pilau ,Wali na Mboga mboga mbali mbali na Mchuzi kama wa Kuku, Nyama, Samaki, na pia tunachukua Order za Vitafunio vya aina nyingi , vyakula vya RAMADHAN na EID na hata Shughuli yoyote Pia tunachukua Order karibuni sana....
Kwa Order piga Simu au tuma ujumbe kwenye Number hii, 0652707072 Usihofu kuhusu bei, Bei zetu ni poa na huduma zetu ni poa tuna DELIVERY ULOPO..
Biriani Nyama ya Ng'ombe
Makaroni Pronzi
Pilau kuku
Mishkaki
Kuku wa kuchoma
Nyma ya kuchoma
Urojo ( Mix )
Mkate wa ufuta
Vitumbua
Chapati lainiiii.
Vitumbua vya Kisra.