F 4A9 NI TIBA SAHIHI | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

4A9 NI TIBA SAHIHI

Lengo la kuonesha vijiji,kata na wilaya ni kujipambanua na watafiti wengine na kuonesha uhakika wa kile tulichokifanya. Lakini ni kuwashawishi watafiti au wachunguzi wa mambo au wafatiliaji wa mambo ili kujua tulichokifanya katika taifa letu na kuonesha umuhim wa kutengeneza dawa yenye uwezo mkubwa na kuwa ni sababu ya kuzuia pesa zetu kwenda kwenye mataifa ya kimagharibi. Kwa mfano:-mtu aliekuwa akisumbuliwa na matatizo ya nguvu ya kifamilia inopelekea mtafaruku ndani ya familia na kufanya mmoja atoke  ktk utaratibu,mtu wa namna hii anaweza kutafta dawa zinazotoka nje ya Tanzania.

Maana yake hela ya Tanzania inaenda inaenda kumnufaisha mtu wa nje badala ya kunufaisha taifa letu. Akitumia 4a9 hela hio itamnufaisha mtanzania mwenzake. Hali kadhalika kwenye tatizo la moyo,kisukari,maumivu ya miguu,ganzi,miguu kuwaka moto,fangasi,vidonda vya tumbo 4a9 ni dawa yenye uwezo mkubwa kukabiliana na matatizo makubwa ktk mwili wa binadam na hili linathibitishwa na maoni yatokayo kwa watu waliotumia 4a9.

Tulikusanya maoni wa watu waliotumia dawa ya 4a9 lengo ni lilikuwa ni kujiridhisha na kile tulichokivumbua na watu walihojiwa na waliridhika maoni yao tuyaweke hadharani na waliokataa tuliheshimu maamuz yao. Hatuna lengo baya la kuonesha maoni lkn tunataka kuonesha umuhimu wa habari ilivoenea katika wilaya ya kilombero na wilaya ya ulanga mahenge na malinyi imekuwa chachu ya mikoa na wilaya nyingine habari hii ya 4a9 kuenea. Tunaendelea kuwatoa shaka wanaofatilia makala zetu tunazozirusha ktk mitandao yetu ya kijamii.

Na tuko teari kujibu swali lolote tutakalo ulizwa liwe la maana au si la maana bila jazba yoyote. Nitajibu maswali matatu(3)tulioulizwa kwa leo km T.r.msigwa. Swali la kwanza:vipimo vya kutizama kiwango cha vvu ni vichache na mimi ninaeuliza nina miaka kumi bila kujua wingi wa wadudu walio mwilin mwangu zaidi ya cd4 je nikitumia dawa zako nitapima wapi na hapa Arusha kipimo hicho tunaambiwa hakuna??

Kabla sijajibu swali hili nachukua fursa hii kumpongeza pole huyu dada wa Arusha pamoja na wanaarusha wote,lkn km ni kweli hicho kipimo hakuna ktk spitali za serikali za Arusha hio ni aibu na ni busara kwa wenye mamlaka kufikiri upya na kujipanga kutatua tatizo hilo. Hayo ni maelezo yng kabla ya kumjibu dada huyu wa Arusha.

Jibu langu kwa dada huyu ni moja tu tuombee ili tukamilishe mipango ya kumiliki mashine yetu ili tutengeneze utaratibu mzuri wa kuwasaidia watu wenye tatizo hilo wakati ukifika.

Lkn ni busara mhusika akajitambua kwa vipimo yupo hatua gani  na anapotumia dawa akimaliza dozi ni vizuri akapima ili kujua dawa hio imemsaidia kwa kiwango gani. Atakuwa haishi kwa mashaka.
Swali la pili je naweza kutumia 4a9 ata kama siumwi??Jawabu la swali hili linahitaji ufafanuzi kidogo:-ni vizuri ukatambua kwamba 4a9 haikupitia kwenye viwanda wala haina kemikali kwa maana hio 4a9 ni dawa baridi yenye uwezo wa kuimarisha mfumo wa kinga katika mwili wa binadamu.

Kinga zinapoimarika mwili huondokana na uchovu,huondoa sukari katika damu,huondoa athari kwenye kongosho himarisha madini ya chuma,huondoa mafuta kwenye mwili, haya ni machache tulioyaona wakati wa kukusanya maoni,ndio maana mtu hupata mafanikio ya haraka  katika mwili.
Kwa hio jibu sahihi unaweza kutumia 4a9 hata km hauumwi kama kinga ya kuimarisha kinga za mwili kutokana na msongo wa mawazo unaotokana n matatizo ya kimaisha.

Swali la tatu ambalo ni la mwisho kulijibu kwa leo ni kuna uwezekano mmoja akawa na virusi vinavosababisha  ukimwi na baadae akaonekana hana virusi??

Katika maswali nlioulizwa hili ndo swali zuri na la kiufundi zaidi.
Ntatoa maelezo kidogo alaf ndo nlijibu swali hili:-ni watu wengi waliowahi kusema kuwa wanaweza kumtoa mtu kwenye positive kwenda negative si jambo la kubeza  kwa maana kuna waliofanikiwa na ambao hawakufanikiwa,ukweli ni hivi baadhi ya watu mungu anewaumba seli zao haziruhusu virusi kupenya ktk mfumo wa kinga ,kwa hio virusi wale wataendelea kuishi ndani ya damu na hatimae watatoweka na kuonekana hawapo na mtu huyu akipima ataonekana hana virusi vya ukimwi ktk kile kipimo kinachoonesha mistari miwili.

Na kama hujaridhika na jibu hilo unaweza kuwasiliana na mimi katika namba 0713646691.
T.r.msigwa anaendelea kujifunza ni namna gani atapoteza taarifa inompelekea mhusika kuonekana ana maambukizi ya virusi wanaosababisha ukimwi.

Na hii itawasaidia hasa watu wa vijijini amabao hawana uwezo wa kwenda spitali za kisasa na kupata vipimo vya kisasa.

Na km hujaridhika na jibu hili unaweza kunitafuta kwa namba zangu za simu. Pia naomba uvumilivu wenu nitakapokuwa sehemu ambazo mawasiliano ni ya tabu ila ntakaporejea sehem yenye mawasiliano mazuri nitajibu hoja zenu haraka iwezekanavo..

Watu wa omani na zambia tuwasiliane kuanzia saa mbili(2:00) usiku mpaka saa tano na nusu usiku(5:30).

Wasiliana na T.r.msigwa kwa maswali na ushauri kupitia :-0713646691 Na 0752819047
Au kwa barua pepe (Doctorymsigwa@gmail.com)

Ilimuone uwezo was dawa ya 4a9..Nakwaushahidi wa hilo ndio unaopelekea 4A9 kujulikana zaidi katika mataifa ya nje. Unaweza wasiliana na mawakala wetu waliopo   ....South Africa +27625147149, Oman +96899449143, Malawi +265999432288, Rwanda +250722122200, Burundi +255717722682, Zambia +26097771785.......

ANGALIA VIDEO HII..