F Picha: Mabeste na Lisa Fickenscher wafunga ndoa | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha: Mabeste na Lisa Fickenscher wafunga ndoa

Msanii wa muziki wa hip hop Mabeste weekend hii amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae, Lisa Fickenscher.faraja

Wawili hao tayari wana mtoto mmoja aitwae, Kendrick Mabeste.

Kupitia instagrm, Mabeste ameandika:
Morning .. Hatimae nimeopoa Jana Thank you sana My Big brother Jesus And Thank you
Rapa huyo amekuwa ni miongoni mwa wasanii wa bongofleva waliofunga ndoa mwezi huu baada ya Tunda Man pamoja Nyandu Tozzy kufunga ndoa siku chache zilizopita. Angalia picha.
dd
qqq
zza