Nichukue fursa hii kujibu maswali machache nilioulizwa na wadau wanaofatilia makala tunazoziandika nje na ndani ya tanzania
Kabla sijajibu ningeomba yule ambaye hajaridhika na jibu langu ana nafasi ya kunipigia simu au kuniandikia wapi hajaridhika
Swali la kwanza
Nimesikia kuwa dawa ya 4a9 inatibu ukimwi unanihakikishiaje kuhusu hilo?
Ndugu yangu huyu aliouliza swali hili kwanza ni la kiufundi Pili watanzania wengi tu wenye maswali kama haya Kabla sijajibu ningependa kutoa ufafanuzi
Neno ukimwi chimbuko lake ni ukosefu wa kinga mwilini. Kitendo cha kukosa kinga kwa tafsiri hio unaweza ukasema mtu huyu ana ukimwi lakini ningependa kumfahamisha aliouliza swali hili kuna maradhi mengi yanayosababisha kupungukiwa na kinga mwilini sio vvu pekee
Ni wataalamu wengi katika taifa hili waliowahi kujitokeza hadharani wakisema kuna suluhisho la dawa ya ukimwi.
Swali hili ni pana sana lakini nitalichambua kidogo ninalojua mimi T.r msigwa 4a9 inauwezo mzuri kwa asilimia kubwa zaidi kuondoa virusi vinavyosababisha ukimwi na hili halina ubishi isipokuwa kwa watu 3
Wakwanza ni yule alienufaika na dawa za kimagharibi huyu ukimueleza inakuwa ngumu kidogo hata kama ukweli anauona
Mtu wa pili kwanza hajiamini na hawaamini waafrika wenzake kama wanaweza wakavumbua kitu na akakiamini
Mtu wa tatu ni akili kuambiwa anapolisikia jambo halifanyii utafiti wakina huamini na kuwaambia watu bila kujua lile jambo lina ukweli kiasi gani
Makundi haya matatu yapo katika jamii na ni vigumu kuelewa
Jibu ni hili 4a9 inauwezo mkubwa mno wa kuweza kuondoa virusi katika damu ya muhusika na wenye mamlaka hili wanalijua.
Tatizo kubwa ni mfumo tu nisisitize ushauri wa wagonjwa..mgonjwa yoyote anaejitambua ni yule anaejua tatizo linalomsumbua lipo kiwango gani kabla na baada ya kumaliza dozi hio itamsaidia kujua dawa imemsaidia kwa kiwango gani
Tatizo kubwa kabisa linalowakabili wagonjwa wa tanzania asilimia kubwa hawana taarifa sahihi ya tatizo linalowasumbua. Tatizo jingine ni vipimo katika taifa letu havitoshelezi.
Kama hujaridhika na jibu hili unaweza ukanipigia simu ili nikufafanulie kwa kina zaidi uweze kuridhika
Swali la 2
Unaweza kutumia 4a9 huku ukitumia dawa za kimagharibi??
Nae ningependa kutoa ufafanuz mfupi
Watu wengi wanaovumbua dawa za kupambana na vvu wameghafilika sehemu ndogo sana..wametengeza dawa inayokwenda kufanya kazi kama kinga
Maana yeke unasimamisha kinga za asili na kutengeneza kinga mbadala na hapa ndipo walipokwama na hii ndio tofauti kubwa sana ya 4a9 na dawa za kimagharibi
Watu wanapata mafanikio makubwa kwa kutumia 4a9 kwa sababu inakwenda kuimarisha au kuongeza uimara wa askari wanaolinda mwili.
Ndugu msomaji hapa panahitaji umakini wa hali ya juu ili kuelewa tafsiri nilioileza
Kwa hio ukitumia 4a9 itakusaidia kwanza itaondoa sumu zinazotokana na dawa za kimagharibi ambazo mhusika amezitumia
Pili mfumo wa kinga zake zitaimarika zaidi na maradhi mengi yataondoka ndani ya mwili wake.
Sisi watu wa 4A9 tumethibitisha hilo baada ya kukusanya maoni katika wilaya hizo nne na wewe uanefatilia kwenye mitandao ya kijamii na kwenye youtube kwa kuona watu mbalimbali na wenye matatizo mbalimbali wamenufaika kwa kutumia 4A9.kwa mfano mtu aliyekuwa anasumbuliwa na maumivu makali kwrnye mgongo na maumivu hayo kuvamia kwenye kiuno na kumpelekea kukosa nguvu za familia na hatimaye kazalisha mzozo ndani ya familia yake.
Watu wa namna hii walinufaika kw kutumia 4a9 na mzozo ndani ya familia ukaondoka.kuna baadhi ya watu ambao wao walikuwa na matatizo ya kuumwa miguu,mhongo,kiuno na kushindwa kufanya mambo yao vizuri lakini baada y kutumi 4A9 .matatizo haya yalipungua kwa asilimia kubwa hii inaonesha ni jinsi gani tumeweza kutengeneza dawa inayoweza kuwasaidia watu katika matatizo mbalimbali na sio vvu peke yake.ushahidi niliyowapa wenye mamlaka kma ungekuwa si sahihi wangekanusha sitarajii msomi mwenye akili timamu anaweza kuupinga ushahidi huu niliowapa .
Cha msingi kwa mgonjwa yoyote ni vizuri akawa na taarifa ya kimaabara kuhusu hali yake kabla na baada ya kutumia dawa ya aina yoyote.
Akifanya hivi atakuwa na uhuru wa kiakili kwa kuwa atajua dawa hio imemsaidia kwa kiwango gani.
Swali la 3 na la mwisho kujibu katika wiki hii
Je mtatumia vigezo gani wakati qa kuchagua maajenti watakaosaidia kutangaza 4a9 tanzania??
Napenda kutoa maelezo kabla kujibu swali hili ili alouliza aweze kuuliza
Cheti tafsiri yake nyepesi ni kumtambulisha mhusika kiwango cha elimu aliokuwa nayo.
Ila cheti hakitoi uthibitisho kwa mhusika kuwa taaluma hio ameilewa kiufasaha na hili linasibitishwa.tumeona wengi wenye elimu na shahada lakini wameshindwa kujiongoza.
Tumeona wenye vyeti wengi ni wezi tu,sina maana napinga au nadharau vyeti
Siku moja nilikuwa Qatar katika mazungumzo kati ya watu waliokwenda shule zaidi niliwahi kuwauliza mtu wa kwanza kumpa shahada ya udaktari mwenzie yeye alipewa na nani?(yule bwana alicheka tu)
Nitakachokifanya mimi t.r msigwa kunuelekeza anaetaka kufanya kazi ya 4a9 :-
4a9 ni nini?inaweza kumsaidia mtu yupi na akiwa na tatizo lipi
Kiufupi tutampa maelekezo ya kuihudumia jamii kupitia 4a9
Lakini kitu kikubwa kwa msigwa ni mtu awe mwaminifu awe mkweli afanye kazi aache porojo.
Ningeoenda kueleza watu mbali mbali sasa hivi duniani asilimia kubwa watu wanapenda kutumia dawa zisizokuwa na kemikali za viwanda.
Nimalize kwa kuwashauri wenye viwanda na makampuni makubwa ujamaa wao na wanasiasa hautazuia ukweli kubaki kuwa ukweli na uongo kuwa uongo.
Nimalize kwa kuwaomba radhi wale wanaonitumia maswali,maana swali moja linahitaji ufafanuzi wa kina.
TR MSIGWA
Kama swali lako halijajibiwa usilalamike unaweza ukapiga simu,tunajibu maswali mafupi tu kutokana na ufafanuzi wake kuna kipindi tutajibu swali moja tu.
Mungu ibariki afrika Mungu ibariki tanzania Mungu mbariki t r msigwa
Mawasiliano zaidi
0713646691
0773149272
0752819047
Email doctorymsigwa@gmail.com
ANGALIA VIDEO HII..
TANGAZO
Mungu akipenda T.r msigwa atakuwepo zanzibar tarehe 19 mwezi wa 11, atapatikana Amani nyuma ya nyumba ya wazee ukiuliza school ya BILALI T. r msigwa yupo wapi watakuonyesha alipo.T.r msigwa atakuwepo zanzibar kwa wiki 1 na atazungumza na watu wote watakao muhitaji ila atahudumia watu 25 tu.
Kwa maelezo,ushauri kwa watu wa zanzibar wasiliana na T.r msigwa kwa simu namba
0713646691
0773149272
0752819047