![]() | |
Bernard Saanane, Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema |
Taarifa zinasema Saanane ambaye haonekani nyumbani wala kazini, anaonekana kwa marafiki zake mitaani.
Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu (CC) ya Chadema amesema, “Nina wasiwasi kama siyo mkakati binafsi wa kisiasa. Kijana Saanane amekuwa akionesha kutaka kukwea madarakani haraka hata nje ya taratibu. Tafuteni tu mtaona.”
Chanzo: Mwanahalisi