Breaking News: Mbunge wa Kilombero ahukumiwa Jela miezi sita

PETER (1).jpg
KILOMBERO: Mbunge Peter Lijualikali wa CHADEMA pamoja na dereva wake John Bikasa wamehukumiwa miezi 6 jela bila ya faini.

- Wawili hao walikuwa na mashtaka ya kuwashambulia Askari wa Jeshi la Polisi.15941166_898486093587972_4714694261360633580_n.jpg