F BREAKING NEWZ: Tazama Hapa Matokeo ya kidato cha nne 2016 na matokeo ya QT 2016 | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

BREAKING NEWZ: Tazama Hapa Matokeo ya kidato cha nne 2016 na matokeo ya QT 2016

Image result for MATOKEO KIDATO CHA NNE 2016Leo January 31 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2016’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2016

Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2016’ >>>CSEE 2016

Unaweza pia kuyatazama matokeo ya matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2016  >>>(QT) 2016