F Etienne asimamisha mazungumzo kati ya Serikali na upinzani nchini DR Congo | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Etienne asimamisha mazungumzo kati ya Serikali na upinzani nchini DR Congo

Mazungumzo bain aya upinzani na serikali kusimamishwa hadi baada ya mazishi ya kiongozi wa kihistoria wa upinzani DR Congo

Etienne Tshisekedi kiongozi wa kihistoria wa upinzani Jamhuri ya kidemokrasia ya Congon alifariki akiwa na umri wa mika 84 nchini Ubelgiji.

Kiongozi huyo aliteuliwa na  baraza la kitaifa  ambalo lilipewa jukumu  la ufuatiliaji wa uongozi wa mpito kabla ya kuandaliwa kwa uchaguzi.

Serikali na upinzani  kwa ushirikiano na tume ya upatanishi kunako mzozo wa kisiasa wamefahamisha kusimamisha mvutano wakisubiri kumalizika kwa mazishi ya Etienne Tshisekedi aliefariki Februari 1 nchini Ubelgiji.

Hayo yalifahamishwa na kiongozi wa kanisa Donatian Nshole ambea yumo katika tume ya upatanishi.




Video: Unaujua Uchungu wa Mke? Cheki hii ya Mau Fundi