Hii ni pure 100% Shea butter Grade A' haina chemical ya aina yoyote ile:
Inatumika kwa:
*-kulainisha nywele na kuzipa muonekano mzuri.
*-inatumika km mafuta ya kupaka mwilini maana ina vitamin A,E,F
*-Inatibu maradhi ya ngozi km ukoma na mengineyo.
*-Inapoza maumivu ya kuungua na moto.
*-Inaondosha kovu na mabaka meusi kwenye ngozi.
*-Inaponya maungo ya mwili, kwa kujichuulia.
*-Inaponya maumivu ya kutafunwa na mmbu.
*- Ni tiba kwa ngozi kavu.
*-Unaweza tumia kama lip shine
*-Inatumika kama mafuta kwa watoto wadogo, maana inazuia harara za joto
*- Inaondosha michirizi ya mwili kwa muda mfupi.
*- Inaponyesha vipele vidogo vidogo vitokanavyo na joto.
*- Inatibu muwasho wa ngozi
*- Ni tiba ya keya za miguu
*- Tiba ya fungus
*- Inatibu chunusi na kuondoa kovu za chunusi
*- Unatumia baada ya kunyoa ndevu after shave
*- Inazuia kutoka vipele baada ya kunyoa ndevu
Brand name ni: LUAH NATURAL PRODUCTS hiyo ni bidhaa ya kwanza
*- Inatumika kukuza nywele kwa wanaoanza kuota uaraza/kipara
*-inazuia nywele kukatika
*- Inatibu chunusi
*- Inatibu mba wa nywele na fangasi ya kichwa.
*-Ina nawirisha nywele Kuwa na muonekano halisi
*-Pia ni dawa nzuri kwa watu wazima wenye shida ya kupata choo
Magomeni makuti
Dar es salaam, Tanzania
Mawasiliano:
0712 460740
0654430204
Email: majidhb61@gmail.com