Mahakama Kenya imeizuia Serikali kuajiri Madaktari kutoka Tanzania

Mahakama imeizuia Serikali kuajiri Madaktari kutoka Tanzania kwa sababu ndani ya nchi hiyo kuna Madaktari 1,400 wasioajiriwa.

 Mpaka sasa takribani watanzania 400 wenye taaluma ya Utabibu wameomba kazi hiyo.
 Mahakama kuu nchini Kenya yasitisha zoezi la kuajiriwa kwa madaktari kutoka Tanzania.


Wizara ya afya ya Kenya ilikua imeratibu kuanza kwa zoezi hilo tarehe moja mwezi April  baada ya Waziri wa afya Cleopa Mailu kufanya mkutano na Raia John Pombe Magufuli jijini Dar es Saalam Mwezi huu wa March  na kukubaliana haja ya ushirikiano huo.

Wakenya watano waliwasilisha kesi  mahakamani wakipango huo kwa misingi kuwa kenya ina zaidi ya madaktari 1400 ambao hawajaajiriwa.

Jaji Nelson  Abuodha amesema  kesi  hiyo itatajwa April 19.

Serikali ya Kenya ilianza kutafakari haja ya kuajiriwa kwa madaktari kutoka Tanzania na Cuba baada ya sekta ya afya ya umma kulemaa kwa siku 100  kutokana na mgomo wa madaktari nchini humo                      
Doctors have obtained orders restraining the government from hiring 500 Tanzanian medics amid a shortage.

The medics went to court to stop the government from hiring the practitioners saying there are 1,400 unemployed Kenyans.

KMPDU secretary general Ouma Oluga said: "It would be very costly and therefore a show of imprudent public finance management to have 500 Tanzania doctors at Sh20,000 per day."

More on this: Hire 1,400 jobless Kenyans instead of bringing Tanzania doctors - Oluga

The Labour court made the ruling on Friday saying it will be in effect until the doctors' application is heard and determined

"That leave is hereby granted...to quash the decision of the government...to hire foreign doctors to be deployed to Kenya," read court papers dated March 31.

The court certified the matter as urgent and gave the government 21 days to respond to the application by the health workers.

The matter will be mentioned on April 19.

On March 18, Tanzanian President John Magufuli said they will send 500 doctors to Kenya to help address the shortage.

But the move has been opposed by several leaders. On Thursday, National Super Alliance co-principal Raila Odinga dismissed the plan saying it was misinformed, considering the high number of young qualified Kenyan doctors who lack jobs.

"It is disappointing that the government is seeking to recruit 500 foreign doctors yet there are hundreds of doctors looking for work," Raila said.

"We need to invest in resolving our policy problems in a way that leaves our citizens motivated and willing to serve our country."

He said the recent doctors strike was brought about by the many hiccups in the management of the health sector.

More on this: Shelve plan to hire 500 Tanzanian doctors, employ jobless graduates - Raila

Source: The Star