Rais Magufuli amtumia salamu Spika wa Bunge


Rais Dkt @MagufuliJP amtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge, Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge wa CHADEMA,  Dr. Elly Marko Macha.