F Breaking Newzz; Kombe la Shirikisho Yanga v Mbao FC, Simba v Azam FC | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Breaking Newzz; Kombe la Shirikisho Yanga v Mbao FC, Simba v Azam FC

Droo ya Kombe la Shirikisho imekamilika na sasa Simba na Azam FC zitakutana katika nusu fainali ya kwanza.

Mbao FC watakuwa wenyeji wa Yanga katika nusu fainali ya pili.

Nusu fainali ya kwanza itakayowakutanisha Simba na Azam FC itachezwa Aprili 29 na ile ya pili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza itachezwa Aprili 30.