Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mhe. Elly Macha, uliotokea juzi katika Hospitali ya New Cross, Wolverhampton nchini Uingereza alikokuwa akipatiwa matibabu, katika tukio lililofanyika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma
Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mhe. Elly Macha, uliotokea juzi katika Hospitali ya New Cross, Wolverhampton nchini Uingereza alikokuwa akipatiwa matibabu, katika tukio lililofanyika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma.