Mtoto wa Nyrere amtaka Diamond aiondoe Picha ya Mwl. Nyerere Kwenye Wimbo wake


Baada ya malalamiko mengi toka kwa watanzania hasa watumiaji wa mtandao wa twitter kuwa Diamond ametumia isivyo picha ya mwalimu katika cover la wimbo wake mpya, mzee madaraka ameibuka na kusihi picha hiyo iondolewe katika wimbo huo.
Itakumbukwa kuwa Mwalimu hakuwa mtu wa kukaa kimya hasa maovu yanapozidi, alikuwa akikemea.