Mbunge wa Jimbo la Mtamba Nnape Mnauye ameeleza kuwa kitendo cha yeye kutembea akiwa juu ya migongo ya wanawake wa Jimbo hilo ni kwamba ni ishara ya heshima kubwa aliyopewa
nape ameeleza kuwa angekataa angetoa ishira ya Dharau na kwamba isingewezekana na kukataa.
huu ndio ufafanuzi wake kwenye mtandao wa Twiter
aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo akihoji kitendo hicho cha kimila