F Nape Nnauye aandika haya juu ya vurugu kwenye mkutano wa CUF | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Nape Nnauye aandika haya juu ya vurugu kwenye mkutano wa CUF

 Jana Chama cha wananchi CUF kilifanya mkutano wake na waandishi wa Habari maeneo ya Manzese Jijini Dare es Salaam ambapo walijitokeza watu wasiojulikana na silaa na kuwapiga viongozi na wanachama wa chama hicho pamoja na waandishi wa habari.

Sasa leo April 23 2017 kupitia ukurasa wa Twitter wa mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye ameyaandika haya kuhusiana na vurugu hizo zilizosababishwa na watu hao wasio julikana….Siasa ni ushindani wa HOJA sio NGUVU! Tunaenda wapi huku jamani?! Wanavamia na kutoroka??!! How?!! Siasa imevamiwa na manungayembe sasa” – Nape