F Breaking News: Basi la Ally's na basi la Isanzu yagongana Uso Kwa Uso | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Breaking News: Basi la Ally's na basi la Isanzu yagongana Uso Kwa Uso

Basi la Ally's lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Tabora limegongana na basi la Isanzu uso kwa uso lililokuwa linaelekea Mwanza kutoka Kahama

Ajali imetokea saa mbili asubuhi eneo la Samuye barabara barabara ya Shinyanga.Hali ya dereva wa basi la Isanzu si nzuri.

Watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya rufaa Shinyanga,hakuna mtu aliyepoteza uhai kwenye ajali hii.