F Nukuu 5 muhimu aliyosema Rais Magufuli leo Mei 24 | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Nukuu 5 muhimu aliyosema Rais Magufuli leo Mei 24


 "Walifikiri ni wasomi sana, Sasa wasomi wenzao wame Wa-Proove Wrong" JPM                        

 "Walifanya hivyo, Kwa makusudi, Au kwa kutokujua ama hawajui Professional yao"- JPM

"Nilipoomba Dakika 5, Mimi niliondoka na wenzangu kuteta kidogo, kwamba ripoti hii haiwezi kupita hivi hivi, lazima tufanye kitu wakati tukisubiri ripoti nyingine"- JPM

"Nimeivunja bodi ya TMAA, na ninaagiza vyombo vya dola na Takukuru muwafuatilie muwafikishe kwenye mkono wa sheria"- JPM

"Ninampenda sana Profesa Muhongo, lakini pia ni rafiki yangu, lakini kwenye hili naomba kajifikirie na haraka sana uachie ngazi"

Niwakati wa makabidhiano ya Ripoti ya Kamati Maalum iliyochunguza Mchanga wa Madini  kwa Rais Magufuli leo Mei 24