F Pichaz: Msiba wa Dogo Mfaume | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Pichaz: Msiba wa Dogo Mfaume


KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa Kazi ya Dukani kufariki dunia juzi Mei 17, 2017, mwili wa marehemu unatarajiwa kuzikwa leo .

Waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwao na marehemu Dogo Mfaume.

Dogo Mfaume alikuwa Sober House (alikuwa akipata matibabu ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya).