F Serikali imewalipa Bilioni 110 watumishi kwa kukaa tu ofisini- Zitto | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Serikali imewalipa Bilioni 110 watumishi kwa kukaa tu ofisini- Zitto

 
"Mwaka 2016/17 Serikali imewalipa wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo TZS 110 bilioni Kwa kutofanya kazi yeyote ya kimaendeleo maana Serikali ilitoa 3% ya Bajeti ya Maendeleo. Tunalipa watu kukaa ofisini" Taarifa hiyo ni Kupitia Ukurasa wake wa Facebook