Simba yanyakuwa Ubingwa, Kotei awa mchezaji bora wa mechi

Kiungo wa Simba, James Kotei amekuwa mchezaji bora wa mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho.

Katika mechi hiyo, Simba imeshinda kwa mabao 2-1 na kubeba ubingwa.

Kotei alicheza namba nne na kuonyesha kiwango cha juu kabisa katika mchezo huo.