Meya wa Manspaa ya Ubungo Bonface Jocob amechiwa huru kutoka kwenye kituo cha Polisia aliposhikiliwa tangu juzi saa sita mchana.
Jacob alishikiliwa akiwa makao makuu ya manispaa hiyo, Kibamba, akiwa katika msafara uliokuwa unaelekea kukagua miradi ya maendeleo akiwa na viongozi wenzake wa Chadema, akiwamo mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.