F Serikali yapiga Marufuku vyombo vya vya Habari kutumia picha ya Kikwete na Mkapa | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Serikali yapiga Marufuku vyombo vya vya Habari kutumia picha ya Kikwete na Mkapa

Serikali imepiga Marufuku matumizi ya picha za Marais  wastaafu wa awamu ya Nne na ya tatu na kuyahusisha na Sakata la Makenikia.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Harriso Mwakyembe ametoa tamko hilo leo tarehe 15,Juni.