F VIDEO: Hii Ndio Sababu ya Kuhojiwa kwa Lowassa leo Tarehe 27 Juni | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Hii Ndio Sababu ya Kuhojiwa kwa Lowassa leo Tarehe 27 Juni

ALIYEKUWA Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chadema chini ya Mwamvuli wa Ukawa Edward Lowassa leo amehojiwa na Jeshi la Polisi kwenye Makao Makuu yao.

Lowassa aliripoti majira ya saa  4 asubuhi na kuondoka mishale ya saa saba na robo mchana

Tazama Video Hii kisha Share na usisahu Ku-Subscribe Muungwana TV