Hivi karibuni Jijini Dar es Salaam na sehemu nyengine Nchini kuliibuka Hofu ya Mchele unadhaniwa kuwa umetengenezwa kwa Plastic .
Leo Serikali kupitia Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA). Imewatoa imesema kwamba Tanzania Hakuna mchele wa Plastick kutokana na Uchunguzi uliofanya na Mamlaka hiyo tangu kuinga kwa hofu hiyo Nchini.
Tazama Video Hii kisha Share na Usisahau Kus-Subcribe.