F Kafulila apewa Tuzo | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Kafulila apewa Tuzo


Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusi David Kafuli amepewa Tuzo ya Heshima  Mpiga Filimbi katika vita vya Ufisadi.

Tuzo hiyo amepewa baada ya kuibua hoja zilifichua Ufisadi na Mafisadi waliokula pesa na kubadhilisha Maslahi ya Umma.

Ujasiri wa Kafulila kuibua masuala hayo ndio ulimuibua kwenye Tuzo hiyo aliyopewa na Watetezi wa Haki za Binaadamu .

 Tazama hapa Full Video.