Sanchi aliiambia 3-Tamu kuwa, hivi karibuni anafikiria kujiingiza kwenye kilimo ambacho anaamini kina mafanikio makubwa ingawa wengi wanaona ni kazi ya kishamba.
“Urembo nauweka kando kwa muda kwanza ili nijikite zaidi kweye kilimo, nimeona kuna fursa kubwa ukizingatia warembo wengi wanachukulia kilimo kama biashara ya washamba,” alisema Sanchi.