F Picha 7 za Diamond akiwa amevaa Msalaba | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha 7 za Diamond akiwa amevaa Msalaba

Nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ ameendelea kuzua maswali kuwa ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu shetani, Freemason au La? tetesi hizo zilianza kitambo lakini sasa zimeshika kasi baada ya kuonekana amevaa cheni za misalaba kwenye moja ya video yake aliyotoa hivi karibuni ya 'ENEKA', Kwamujibu wa wataalamu wa mambo wanadai msalaba pia umo kwenye listi ya alama za Freemason

Tazama picha hapo chini...