Mgogoro unatokana na kugawanyika mapande mawaili kwa Chama hicho ikiwa upande mmoja unamsapoti Professa Ibrahimu Lipumba na Upande Mwengine unamsapoti Katibu Mkuu Maalimu Seif Sharifu Ahamad.
Leo kwenye Mahakama hiyo kulikuwepo na Pande zote mbili
Tazama full Video kisha Share na Usisahau Ku-Subcribe Muungwana Tv.