F Mgombea Urais Kenya ashindwa kupiga Kura | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Mgombea Urais Kenya ashindwa kupiga Kura

 Mgombea wa Urais, Dr. Ekuru Aukot akwama kupiga kura baada ya mafuriko kuvunja na kulisomba daraja la huko kaunti ya Nginyang

Kwa upande wake Rais Uhuru Kenyatta akiambatana na mkewe Margaret wamepiga kura kituo cha Shule ya Msingi Mutomo, Gatundu Kusini.

Mgombea urais wa muungano wa Nasa Raila Odinga amepiga kura katika Kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Old Kibera.

Hata hivyo Mvua kubwa iiliyonyesha nchini humo imekwamisha zoezi la upigaji kura katika maeneo mabli mbali ikiwemo Turkana, Baringo na Samburu.