Tunauza ubuyu aina nne:
1. Ubuyu wa nazi
2. Ubuyu wa pilipili
3. Ubuyu wa maziwa
BEI KWA JUMLA KWA NDOO
Ubuyu wa nazi,pilipili na maziwa ndoo kubwa ni Tshs 50,000 na ndoo ndogo ni Tshs 30,000 Kisado 15,000.
BEI KWA PACKET
Packet moja ni 1500
Jumla kuanzia 10 ni 1200
Agent kuanzia packet 500 ni 1000
Tunapatikana Tanga Magaoni karibu na shule ya Ebenezeri... Mikaoni pia tuna tuma.
Kwa mawasiliano no ya simu ni 0718260942 na watsapp ni 0679434142 instagram tunapatikana kalad69 karibuni sana!!!