Kufuatia matukio kadhaa ambayo yamekuwa yakiendelea ndani na nje ya Bunge katika siku hivi karibuni, Muungwana Blog imemtafuta Mweneyekiti wa vyama vya siasa visivyokuwa na wabunge au uwakilishi bungeni Renatus Muhabhi kutaka kujua nini maoni yao juu ya masuala hayo, ambapo ameeleza kusikitishwa na mwenendo wa namna Bunge linavyoendeshwa kudai kuwa Wapinzani wamekuwa wakikandamizwa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI