F Chebukati ataja idadi ya Wakenya waliopiga kura | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Chebukati ataja idadi ya Wakenya waliopiga kura

Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amedai kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba Wakenya wapatao 6,553,858 wamejitokeza na kupiga kura. Hii idadi imejumuishwa kutoka kwa maeneo bunge 267 nchini.

Awali alitangaza kuahirisha uchaguzi kwenye gatuzi nne za mkoa wa Nyanza baada ya wafuasi wa Raila wamekinukisha kule na kuvuruga shughuli za upigaji wa kura kufanyika. Hivyo ameahirisha hadi Jumamosi.