F Fahamu Aina 7 Za Juisi Zenye Kuondoa Sumu Mwilini | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Fahamu Aina 7 Za Juisi Zenye Kuondoa Sumu Mwilini

Sumu mwilini hutokana na vile vitu au vyakula ambavyo binadamu hutumia huenda kwa kujua au kutokujua. Sumu hizo pia huweza kuchangiwa na matumizi ya yasiyosahihi ya dawa mbalimbali.

Miongoni mwa mbinu bora na nzuri ya kuondoasumu hizo ndani ya mwili ni pamoja na kutumia vyakula halisi mara kwa mara.

Hapa nanayo orodha ya vinywaji ambavyo huweza kuondoa sumu ndani ya mwili:-

1. Juisi ya mchanaganyiko wa tango na spinachi.
2.Jusi ya mchanganyiko wa tangawizi na spinachi.
3. Juisi ya mchanganyiko wa chungwa na tango.
4. Juisi ya komamanga pamoja na mapera
5. Juisi ya changanyiko wa passion na tango
6. Juisi ya mchanganyiko wa apple na parachichi
7. Juisi ya mchanganyiko wa mbegu za maboga na strawberry