Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kongosho kushindwa kufanya kuzalisha insulin, au mwili kushindwa kutumia insulin ambayo huzalishwa katika kongosho, sukari (clucose) ikiingia katika mwili kama ikizidi kongosho huzalisha glucgone homoni ambayo hutumika kubadilisha glucose kwenda kwenye glycogen ambayo huifadhiwa kwenye misuli, kama mwili ukifikia hatua hauna uwezo wa kuzalisha glucagonhubadilisha glycogen kuwa glucose na kutumika katika mwili kwa hiyo kama kongosho ikishindwa kuzalisha glucagon hapa ndipo chanzo xha sukari ya kushuka huanza na mtu kuugua kisukari cha kushuka, kwa sababu cell za mwili huanza kushuka.
Visababishi vya kisukari.a
Dalili za ugonjwa huu ni;
Athari za ugonjwa huu;
Mambo yakuzingatia hasa pale ukiwa na ugonjwa huu
Asante sana na endelea kutembelea muungwana blog kila wakati.
Visababishi vya kisukari.a
- Uzito kupita kiasi.
- Kurithi kutoka kwenye ukoo.
- Kutokufanya mazoezi.
- Kula vyakula vyenye sukari.
- Kongosho kutofanya kazi vizuri au kutofanya kazi kabisa.
- Matatizo ya figo na presha ya kupanda.
Dalili za ugonjwa huu ni;
- Kukojoa mara kwa mara
- Kupungua uzito.
- Kuhisi kiu mara kwa mara
- Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
- Maumivu ya miguu
- Uchovu wa mara kwa mara.
Athari za ugonjwa huu;
- Kupata presha ya kupanda.
- Kutopona vidonda haraka.
- Kupungua kwa uwezo wa kuona.
- Kupungua kwa nguvu za kiume.
Mambo yakuzingatia hasa pale ukiwa na ugonjwa huu
- Fanya mazoezi.
- Tumia dawa ipasavyo.
- Angalia sukari yako mara kwa mara.
- Linda presha yako mara kwa mara.
- Usivute sigara
- Kula kwa afya.
Asante sana na endelea kutembelea muungwana blog kila wakati.