F Breaking News: Tido Mhando afikishwa kizimbani Leo | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Breaking News: Tido Mhando afikishwa kizimbani Leo


ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa  Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Tido Mhando amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar leo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC.