Tanzia: Jaji Kisanga afariki Dunia

Jaji mstaafu, Robert Kisanga amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Regency Dar. Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu, Thomas Mihayo amethibitisha.

R.I.P Jaji Kisanga.