Moja kati ya maswali ambayo nimekuwa nikiyapokea ni pamoja na swali hili, wasomaji wengi wamekuwa wakitamani kufahamu ni madhara gani yatokonayo na ulaji wa nyama nyekundu.
Nami bila hiana kutokana na swali hilo naomba kujibu kama ifuatavyo:
Kwanza kabisa kuna nyama za aina mbili , nazo ni nyama nyeupe na nyama nyekundu. Nyama nyeupe ni pamoja na samaki , kuku , ndege wa aina zote , bata, wadudu. Lakini nyama nyekundu ni pamoja na ng ’ ombe, mbuzi, kondoo , nguruwe na wanyama wa porini. Nyama ina virutubishi vingi muhimu kwa afya ya binadamu kama protini , vitamini na madini . hata hivyo Madini ya chuma yanayopatikana kwenye nyama ni rahisi sana kusharabiwa (kufyonzwa ) mwilini lakini pia muhimu kwa kuongeza wekundu wa damu .
Uwezo wa miili ya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI kuyeyusha chakula na kusharabu (kufyonza) virutubishi hupungua . Utumiaji wa nyama nyekundu kwa wingi unaweza kuwaletea matatizo hasa katika uyeyushwaji tumboni kwani nyama nyekundu si rahisi kuyeyushwa ukilinganisha na nyama nyeupe. Hata hivyo katika nchi yetu watu walio wengi wanatumia nyama kwa kiasi kidogo sana na mara chache.
Si vyema watu hawa waache kabisa nyama nyekundu . Jambo la muhimu ni kutumia njia mbalimbali ili kuifanya nyama hii iyeyushwe kwa urahisi tumboni.
Namna ya kusaidia uyeyushwaji ni pamoja n a : -
umuhimu mwilini mwake . Unaweza pia kulainisha vipande vya nyama mbichi kwa kuigonga - gonga , mpaka ilainike kabla ya kupikwa .
Nb; Tafadhari sana naomba nisisitize tena fuata ushauri huu ambao nimekwisha ueleza hapo awali juu ya nyama nyekundu ili kuimarisha afya yako

- Kutafuna vizuri au kutumia nyama ya kusaga (kwa wanaoipata ).
- Kupika nyama na viungo vinavyosaidia kulainisha kama vile papai bichi , limao,vitunguu saumu n. k.
- Kula nyama pamoja na papai Inashauriwa kwa anayepata nyama nyekundu kwa wingi , kupunguza kiasi cha nyama hiyo na kuongeza kiasi cha nyama nyeupe. Na kwa yule asiyepata nyama nyeupe, apatapo nyama nyekundu asiache kutumia kwani ina