Katika matokeo hayo, Mtulia anafuatiwa na mgombea wa Chadema, Salum Mwalimu huku wa CUF, Salum Rajab Juma akishika nafasi ya tatu lakini kwa tofauti kubwa ya kura.
Baadhi ya matokeo hayo ni kama ifuatavyo;
- Kituo cha Mbuyuni 3 Kata ya Tandale
- Mtulia amepata kura 53
- Juma 3 na Mwalimu 18
Kituo cha Mashuka 2 Kata ya Tandale,
- Mwalimu amepata kura 16
- Juma 7
- Mtulia 53.
Kituo cha Mashuka 1 Kata ya Tandale
- Mtulia amepata kura 59
- Mwalimu 14
- Juma 3.
Kituo cha Ofisi ya Mpakani -7 Kata ya Ndugumbi
- Mtulia amepata kura 33
- Mwalimu 20, Juma 6
- Mgombea wa Tadea 1
Kituo cha Mpakani -3 Kata ya Ndugumbi
- Mtulia amepata kura 49
- Mwalimu 14, Juma 16
- Mgombea wa Tadea 1
Kituo cha Serikali ya Mtaa Bwawani 4 Kata ya Kijitomyama
- Mtulia amepata kura 237
- Mwalimu 21
- Juma 1.
Kituo cha Bwawani 01 Kata ya Kijitonyama,
- Mwalimu amepata kura 23
- Mtulia 100.
Kituo cha Bwawani 2 Kata ya Kijitonyama
- Mtulia amepata kura 37
- Mwalimu 24
- Juma 1
Kituo cha Weo 1 Kata ya Makumbusho
- Mtulia amepata kura 35
- Mwalimu 20
- Juma 3
Kata ya Sokoni Makumbusho A-1 Kata ya Kijitonyama
- Mtulia amepata kura 30
- Mwalimu 12
- Ashiri Saidi 1.
Kituo cha Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani B Kata ya Makumbusho,
- Mwalimu amepata kura 13,
- Mtulia kura 39
- Mgombea wa UMD 1.
Kituo cha Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani C 1 Kata ya Makumbusho
- Mtulia amepata kura 41
- Mwalimu 15
- Juma 9
Kituo cha Shule ya Msingi Mwananyamala C 2 Kata ya Makumbusho
- Mtulia amepata kura 42
- Mwalimu kura 21
- Juma 15
Kituo cha Kijitonyama 2 Kata ya Kijitonyama
- Mwalimu amepata kura 20
- Mtulia 29 na Juma 1
Kituo cha Shule ya Msingi Kijitonyama B2 Kata ya Kijitonyama
- Mtulia amepata kura 78
- Mwalimu kura 24
- Ally Abdallah wa Tadea 1
Kituo cha Shule ya Msingi Kijitonyama A-2 Kata ya Kijitonyama
- Mwalimu amepata kura 24
- Mtulia 68
- Ally Abdallah wa Tadea 1
Kituo cha Shule ya Msingi Kisiwani D 2 Kata ya Makumbusho
- Mtulia amepata kura 37
- Mwalimu 21
- Mgombea wa NRA 1
Kituo cha Shule ya Msingi Minazini C 1 Kata ya Makumbusho
- Mtulia amepata kura 46
- Mwalimu 20
- Juma 12
Kituo cha Ofisi ya Serikali ya Mtaa Kijitonyama 2 Kata ya Kijitonyama
- Mtulia amepata kura 25
- Mwalimu kura 36
Kituo cha Ofisi ya Weo-3 Kata ya Kijitonyama
- Mtulia amepata 22
- Mwalimu 20
Kituo cha Mwenge Zahanati Kata ya Kijitonyama
- Mtulia amepata 19
- Mwalimu 12.
Kata ya Mwenge Zahanati 2 Kata ya Kijitonyama
- Mtulia amepata kura 56
- Mwalimu 13
Matokeo zaidi yataendelea kukujia hapahapa