Katika matokeo hayo, Dk Mollel anafuatiwa kwa mbali na mgombea wa Chadema, Alvis Mossi huku wa CUF, Tumsifuel Mwanri akishika nafasi ya tatu lakini kwa tofauti kubwa ya kura.
Baadhi ya matokeo hayo ni kama ifuatavyo.
Kituo cha Kirua–Kawate Kata ya Siha, Wilaya ya Siha
- Mgombea wa CCM alipata kura 208,
- Alvis wa Chadema akipata kura 42
- Mwanri wa CUF akipata kura 10
Katika kituo cha Lawate namba 2 Kata ya Siha
- CCM ilipata kura 300
- Chadema 21
- CUF 0.
Kituo cha Lomakaa,
- CCM ilipata kura 190,
- Chadema 10
- CUF 0
Pia kituo cha Ofisi ya Kijiji Sanya Juu
- CCM ilipata kura 284
- Chadema 54
- CUF 1.
Kwa upande wa kituo cha Sanya Juu
- CCM ilipata kura 93
- Chadema 50
- CUF 0
huku kituo cha Kaboko Kusini 2
- CCM 403
- Chadema 68
- CUF 0
- Sau 0
Pia Kituo kingine cha Kaboko B;
- CCM 106,
- CUF 76,
- Sau 0
kituo cha Ofisi ya VEO Merali Juu1;
- Chadema 33,
- CCM 64
- CUF 0
- Sau 0
Ofisi ya VEO Merali Juu2:
- Chadema 22
- CCM 87
Baadhi ya matokeo hayo ni kama ifuatavyo.
- Kituo cha Pyarita kata ya Nasai
- Mgombea wa CCM alipata kura 194
- Alvis wa Chadema akipata kura 44
- Mwanri akipata Cuf akipata kura 5.
Endelea kufuatilia matokeo zaidi hapa