F VIDEO: EXCLUSIVE Katambi aichana CHADEMA Amtaja LISSU | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: EXCLUSIVE Katambi aichana CHADEMA Amtaja LISSU

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA, Patrobas Katambi amefunguka kwa mara ya kwanza sababu za kujiuzulu nafasi yake hiyo pamoja na kuachana na chama hicho na kuhamia Chama cha Mapinduzi CCM. Katambi ameyasema hayo katika mahojiano maalumu na Muungwana TV aliyoyafanya leo ikiwa ni mara ya kwanza tangua afanye maamuzi hayo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE