F VIDEO: 'MBOWE Hajajificha Polisi Njooni Mumkamate'-CHADEMA | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: 'MBOWE Hajajificha Polisi Njooni Mumkamate'-CHADEMA

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano na Itikadi, John Mrema kimelitaka jeshi la Polisi kuacha kusema linamtafuta Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe kana kwamba amejificha na badala yake kama wana madai nae yeyote waende katika ofisi zake au nyumbani ili wamkamate.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE