F VIDEO: ''Mngemchagua Yule Mzee Ningekua Jela'' MAKONDA | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: ''Mngemchagua Yule Mzee Ningekua Jela'' MAKONDA

"Mngemchagua yule mzee mimi angeniteua, si ningekua jela sasahivi mimi nilimkaa tangu mwaka 2013 nikiwa bado kijana hata kazi sina nikasema huyu mzee hafai hata kuongoza mtaa" Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, amesema

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE