F VIDEO:Polisi Wasambaza Kipigo Kwa CHADEMA Kinondoni | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO:Polisi Wasambaza Kipigo Kwa CHADEMA Kinondoni

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni wametumia mabomu ya machozi kutawanya wafuasi na viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA waliyokuwa wakitokea katika kampeni zao eneo la Mwananyamala kwa Makoma kuelekea Ofisi za Mkurugenzi Mkuu wa Uchaguzi Jimbo la Kinondoni. Maandamano hayo yaliongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe, Katibu Mkuu, Vicent Mashinji, Naibu Katibu Mkuu bara, John Mnyika pamoja na wabunge.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE