F Breaking News: Wabunge, Madiwani CHADEMA waandamana kwenda Ubalozi wa Ulaya wahofia maisha yao | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Breaking News: Wabunge, Madiwani CHADEMA waandamana kwenda Ubalozi wa Ulaya wahofia maisha yao


Wabunge na madiwani wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema wameandamana kuja ubalozi wa Ulaya kuja kuomba uangalizi wa usalama wakihofia usalama wa maisha yao lakini pia kuomba haki ya dhamana kwenye kesi inayowakabili viongozi wakuu wa chama hicho.