F Hatimaye Roboti Sophia yafanya mazungumzo na Will Smith | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Hatimaye Roboti Sophia yafanya mazungumzo na Will Smith

Roboti Sophia ambaye ni raia wa Saudi Arabia amefanya mazungumzo na muigizaji wa Hollywood Will Smith.

Katika video iliyorushwa You Tube "Roboti Sophia" ameonekana kukataa glasi ya divai aliyopewa na Will Smith.

Sophia alimjibu Will Smith aliyekuwa akijaribu kufanya matani kwa kumwambia, "Kufanya utani ni tabia isiyo ya kawaida ya kibinadamu".

Roboti hiyo inatarajia kufanya ziara 19 April katika mkutano wa kibiashara Saudi Arabia.

Sophia alipewa uraia na Saudi Arabia mwaka jana.